Amani iwe kwenu wana jf.Mtoto wangu ana miaka 13 .Anasumbuliwa na kifua inatokea kinambana sana na kumletea homa kali.Ikitokea hivyo anachomwa sindano kifua kinamwachia.Daktar anadai ni dalili ya asthma.Mwenyekujua dawa aokoe maisha ya mwanangu..
Chukuwa karafuu 6 zitowe vichwa vyake kisha roweka hizo karafuu katika nusu glasi ya maji usiku kucha mpaka asubuhi kisha awe anakunywa maji yake asubuhi kabla hujala kitu. Fanya hivyo kwa muda wa siku 15. Sisemi kuwa inampa nafuu mgonjwa bali inamponyesha kabisa kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu. tumia kisha unipe Feedback.@mgange hussein