dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Jun 11, 2017 #1 Habari zenu, Kama kuna mtu anakifahamu chuo cha maktaba bagamoyo na anamawasialiano ya hiki chuo naomba anisaidie. Au kama applications zishaanza anijuze . Almaarufu ( slads).
Habari zenu, Kama kuna mtu anakifahamu chuo cha maktaba bagamoyo na anamawasialiano ya hiki chuo naomba anisaidie. Au kama applications zishaanza anijuze . Almaarufu ( slads).
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,045 Reaction score 28,216 Jun 11, 2017 #2 UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jun 11, 2017 #3 Google chap unapata
dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Jun 11, 2017 Thread starter #4 Perfectz said: UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA Click to expand... Mkuu namba za ofisi nilizipata baada ya kugugo, lakini hawapokei simu, ningempata mtu mhusika ingekuwa vizuri zaidi Perfectz said: UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA Click to expand...
Perfectz said: UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA Click to expand... Mkuu namba za ofisi nilizipata baada ya kugugo, lakini hawapokei simu, ningempata mtu mhusika ingekuwa vizuri zaidi Perfectz said: UNAWEZA KU GOOGLE MKUU NA MIMI NAHITAJI PIA Click to expand...
dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Jun 11, 2017 Thread starter #5 Joseverest said: Google chap unapata Click to expand... Namba ya ofisini hawapokei, ningepata ya mkononi ni bora zaidi
Joseverest said: Google chap unapata Click to expand... Namba ya ofisini hawapokei, ningepata ya mkononi ni bora zaidi
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jun 11, 2017 #6 dimaa said: Namba ya ofisini hawapokei, ningepata ya mkononi ni bora zaidi Click to expand... sawa mkuu
dimaa said: Namba ya ofisini hawapokei, ningepata ya mkononi ni bora zaidi Click to expand... sawa mkuu