MSaada tafadhalini

Calixta

Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
8
Reaction score
1
Nina tatizo moja ambalo siloelewi chanzo chake ni kwamba nikiwa nimelala au nimekaa au hata nimesimama(sometimes) halafu nikajamba ile hewa inaingia ukeni halafu nikisimama inatoka kwa kasi kama najamba tena sasa sijui ni nn shida nisaidieni tafadhali
 
Aisee, hii kutibika inahitajika practically mamiii. Na ni wachache sana tunaoweza kutibu hili suala.

Pole Sana mkuu.
 
muone dactari mapema, bt in the mean time jitaidi kuwa unajamba ukiwaunatenbea angalau
 
pole sana ,ila naomba nikuullize swali unatoaga tigo?
 
Mimi sio daktari lakini bibie Calixta ulishawahi kujifungua kwa shida? Kwa sababu hiyo ni kama inayoashiria tatizo la FISTULA. Kama ukeni hakutoki harufu mbaya basi pengine siyo Fistula.
 
Hapana wangu na sina mtoto ingawa k
Mimi sio daktari lakini bibie Calixta ulishawahi kujifungua kwa shida? Kwa sababu hiyo ni kama inayoashiria tatizo la FISTULA. Kama ukeni hakutoki harufu mbaya basi pengine siyo Fistula.
Hapana wngu na sina mtoto ingawa kipindi cha nyuma mwaka juzi nilipata miscarriage na sitokwi na harufu mbaya yoyote ukeni
 
Hapana wangu na sina mtoto ingawa k

Hapana wngu na sina mtoto ingawa kipindi cha nyuma mwaka juzi nilipata miscarriage na sitokwi na harufu mbaya yoyote ukeni
Asante kwa jibu. Ngoja tuwasubiri wataalamu waje. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…