Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana ,ila naomba nikuullize swali unatoaga tigo?Nina tatizo moja ambalo siloelewi chanzo chake ni kwamba nikiwa nimelala au nimekaa au hata nimesimama(sometimes) halafu nikajamba ile hewa inaingia ukeni halafu nikisimama inatoka kwa kasi kama najamba tena sasa sijui ni nn shida nisaidieni tafadhali
Hapana wngu na sina mtoto ingawa kipindi cha nyuma mwaka juzi nilipata miscarriage na sitokwi na harufu mbaya yoyote ukeniMimi sio daktari lakini bibie Calixta ulishawahi kujifungua kwa shida? Kwa sababu hiyo ni kama inayoashiria tatizo la FISTULA. Kama ukeni hakutoki harufu mbaya basi pengine siyo Fistula.
Asante kwa jibu. Ngoja tuwasubiri wataalamu waje. Pole sana.Hapana wangu na sina mtoto ingawa k
Hapana wngu na sina mtoto ingawa kipindi cha nyuma mwaka juzi nilipata miscarriage na sitokwi na harufu mbaya yoyote ukeni