Enny
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 962
- 130
Habari za kazi wana JF.
Tafadhari naomba msaada kwa anayejua kuhusu m-pesa. Nilimtumia mama mkubwa pesa kwenye namba ya simu aliyokuwa anaitumia bila kuuliza kama hiyo laini ameisajili au imesajiliwa kwa jina lake. Alipoenda kuchukua M-pesa wakasema hiyo laini haijasajiliwa kwa jina lake na jina lililopo ni kama helfu mbili tu "pn". Sasa tunawezaji kuitoa hiyo pesa? Laini ya simu bado anayo huyo mama.