Msaada Tafadhari M-PESA

Msaada Tafadhari M-PESA

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Habari za kazi wana JF.

Tafadhari naomba msaada kwa anayejua kuhusu m-pesa. Nilimtumia mama mkubwa pesa kwenye namba ya simu aliyokuwa anaitumia bila kuuliza kama hiyo laini ameisajili au imesajiliwa kwa jina lake. Alipoenda kuchukua M-pesa wakasema hiyo laini haijasajiliwa kwa jina lake na jina lililopo ni kama helfu mbili tu "pn". Sasa tunawezaji kuitoa hiyo pesa? Laini ya simu bado anayo huyo mama.
 
Mwambie asajili hiyo laini haraka! Mkishamaliza usajili (Hata kama ni Tigo, Airtel, e.t.c) nenda Vodacom uwape hiyo taarifa ya kuwa Pesa uliyotuma bado haijamfikia mtumiwaji..
 
I bet ukienda kwa wakala wa m-pesa hiyo pesa inaweza kurudishwa kwenye aacount yako
 
kama hiyo pesa bado haijachukuliwa unaweza kurudishiwa na Vodacom, unachotakiwa kufanya ni kupiga namba ya customer care vodacom na watakupa details ya namna ya kurudishiwa pesa yako. Its simple man, pesa yako haijapotea.

Pili kwa taarifa tu, unaweza kumtumia mtu pesa hata kama hajajisajili na Mpesa au ana line ya mtandao mwingine!!
 
Back
Top Bottom