kama hiyo pesa bado haijachukuliwa unaweza kurudishiwa na Vodacom, unachotakiwa kufanya ni kupiga namba ya customer care vodacom na watakupa details ya namna ya kurudishiwa pesa yako. Its simple man, pesa yako haijapotea.
Pili kwa taarifa tu, unaweza kumtumia mtu pesa hata kama hajajisajili na Mpesa au ana line ya mtandao mwingine!!