Msaada tafadhari nimepata Allegy kutokana na kunywa Amoxillini

Msaada tafadhari nimepata Allegy kutokana na kunywa Amoxillini

DIKE

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
370
Reaction score
156
Mimi ni mjamzito nilikuwa nasikia dalili za UTI nilipoenda kupima nikaambiwa ninayo.

Nikaandikwa Amoxillini nilipomaliza hiyo dose nilikaa siku moja mwili wote ukawa na vipele.

Nikarudi Hospital kuelezea tatizo nikaandikiwa nitumie Citrizin ila bdo havijaisha.

Naomba msaada wanaJF.
 
please usipende kumeza dawa while pregnant
other drugs are stronger to destroy your coming kid
 
Kwa ujumla UTI ni ugonjwa unaotokana na uchafu. Mathalani baada ya haja kubwa unajitawadha kutoka nyuma kwenda mbele lazima upate maambukizo.Its a shama mama au dada kama wewe kuumwa UTI
 
Mmhh naona km unazid kumchanganya huyo bidada, mpe ushauri tuu mengine anajua yy na mola wake jaman watu wataogopa kuuliza maswali humu
 
Pole Dada tatizo la NYEA ni kubwa sana hasa kwa wajawazito,pili epuka sana kula madawa mengi kipindi hiki.
 
Kwa ujumla UTI ni ugonjwa unaotokana na uchafu. Mathalani baada ya haja kubwa unajitawadha kutoka nyuma kwenda mbele lazima upate maambukizo.Its a shama mama au dada kama wewe kuumwa UTI

acha kukariri maisha dada kaomba msahada anatakiwa kusaidia...!!?? nani alie kwambia UTI ni uchafu..???? UTI ni common infection kwa mwanamke... UTI yaweza sababishwa pia na usafi ulio pitiliza kwenye uke...je walijua hilo...???? ni vzuri kama auna ushauri kunyamaza kukiko kumshambulia mtu kwa kitu usicho kijua...!! na pia mwanamke anapata UTI kwakuwa urethra yake ni ndogo toward urinary bladder ivyo basi inakuwa kwake ni raisi kushambuliwa na bactria waishio kwenye colon...!!!

NB..kwa uyo dada mwenye allerg namshauri ikishindicana citrizin ameze predinisoline 15mg....!! ikishindikana aenda fanya allergic test.
 
Back
Top Bottom