Msaada tafadhari wa mabati

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Natagemea kuezeka kibanda changu cha kuishi hivi kalibuni lakini nashidwa niweke aina gani ya mabati yenye ubora zaidi yanayoweza kukaa mda mrefu bila ya kuchoka,Mabati ya aina yoyote ile,na nikiweka mabati yetu haya ya kawaida ni gaji ngapi yanafaa kuezekekea yenye ubora na uhimala zaidi?

Asante
 
Decra roofing tiles kutoka nabaki africa ndio kiboko ila bei yake ujishike. vinginevyo tumia mabati chapa dumu kutoka alaf g28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…