jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,983
- 1,423
Natagemea kuezeka kibanda changu cha kuishi hivi kalibuni lakini nashidwa niweke aina gani ya mabati yenye ubora zaidi yanayoweza kukaa mda mrefu bila ya kuchoka,Mabati ya aina yoyote ile,na nikiweka mabati yetu haya ya kawaida ni gaji ngapi yanafaa kuezekekea yenye ubora na uhimala zaidi?
Asante
Asante