MSAADA TAFADHARI(wale wa udom)

MSAADA TAFADHARI(wale wa udom)

EM LAIZO

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
15
Reaction score
0
jaman naomba anayeifahamu kozi ya bachelor of science in applied geology ya udom tafadhali anijuze ikoje ili nijipange.naomba mwenye msaada anipe.
 
beba jembe,ndoo za lita 10 tatu,shoka,panga,lakuchumpa,mshale na mbao nne za mita 6 pamoja nyaraka muhimu kama vyeti kwa ajili ya registration...!!
 
we tayari ushafeli yani kama hadi leo huwezi kujua tofauti kati ya R na L unadhihirisha umbulula wako umeonae ugumu gani kuandika TAFADHALI unatuandikia TAFADHARI ? ndo maana hata ukaambulia kupata udom ujipange unafikiri chuo ni secondary uende twishen? tena udom chuo cha kata wala hakuna kujipanga
 
sikuhitaji dharau za namna hiyo mfano cjui chuo cha kata mwingne kaamua kurekebisha herufi za kwenye uzi kama huna hoja ya kuhusiana na ombi langu si ni bora zaidi ukaacha kuchangia?naomba tuwe waungwana.
 
laizo kuwa mpole wangu,kuna watu humu jf ktk maisha wanajua kila k2 nadhan unajua kuna usemi 'SOME PEOPLE ARE ALIVE BCOZ ITS ILLEGAL TO KILL THEM'
 
jaman naomba anayeifahamu kozi ya bachelor of science in applied geology ya udom tafadhali anijuze ikoje ili nijipange.naomba mwenye msaada anipe.
mkuu inabidi ukakaze sana na mambo yasiyo ya msingi (mademu....ulevi wa kupindukia..ubishooo n.k) tupa kule.
Hakuna course ngumu wala nyepesi its all in the state of mind, the way u look o take things is the way the outcomes will be. the way u think about smthng is far important than smthng itself.. so u need to think pistive n u'll meet the desire f ur heart
 
Jamaa kaza tuu kila kitu kinawezekana pale.. na kama sikosei bado wanakaa ng'ox...
 
asanten sana wakuu kwa kunipa mwanga wa nini nikafanye mungu awabariki..
 
hio ya ukweli....wala ucwe na wsws..huyo anaekuponda ujue ameshakata tamaa..
 
Back
Top Bottom