Msaada tafadhari wanaojua kiingereza naomba mnitafsirie haya kuhusu huyu Balthazar ili nijifunze mwanamke ni kiumbe gani?

Msaada tafadhari wanaojua kiingereza naomba mnitafsirie haya kuhusu huyu Balthazar ili nijifunze mwanamke ni kiumbe gani?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Balthazar’s videos are a nest of teachings. From these videos, I learned five important lessons about women:

1- A woman's faithfulness is just an illusion. She doesn't exist. At her place, we have to talk about "presumption of fidelity".

2- Marriage does not guarantee loyalty or fidelity.

3- In the face of money, women deny all moral values. Only their interests prevail.

4- When they want to get something without putting in effort, they are ready for the worst compromises.

5- She's beautiful to be married, she'll always hope to meet a man who's nicer than her husband. And if by misfortune she meets him, she will cheat on you without mercy or remorse.
Screenshot_20241107-112954_Facebook.jpg
 
Nimeelewa lakini siwezi kumuelewesha mwingine, hiki ndio kingreza chetu tuliopitia shule za zamani.

Tuishi nao tu coz hakuna wa kutupatia utelezi zaidi yao.
Mkuu hujanisaidia ameendika hayo au umebuni yako mkuu, nyie mnashabikia CCM pamoja kua na degree zetu kiingereza hatukijui tunaunga unga tu.
 
Masai pekee ndiye anajua kuishi na mwanamke.

Hajali uhalali wa watoto ilimradi kazaliwa kwa boma yake.

Akienda bomani, akikuta mkuki nje ni ishara kwamba mkewe yupo na mchepuko, na anatii hilo.

Maasai haumizi kichwa kuhusu mwanamke, bali hujali sana ng'ombe wake zaidi.
 
Huku yalinishida naomba ufanye wewe japo kdgo.
1-Uaminifu wa mwanamke ni udanganyifu tu. Yeye hayupo. Katika nafasi yake, tunapaswa kuzungumza juu ya "dhana ya uaminifu".

2- Ndoa haihakikishi uaminifu.

3- Mbele ya pesa, wanawake wanakanusha maadili yote. Maslahi yao tu ndio yanatawala.

4- Wanapotaka kupata kitu bila kuweka juhudi wanakuwa tayari kwa maelewano mabaya zaidi.

5- Ni mrembo wa kuolewa, huwa na matumaini ya kukutana na mwanaume ambaye ni mzuri kuliko mumewe. Na ikiwa atakutana naye kwa bahati mbaya, atakudanganya bila huruma au majuto.
 
Balthazar’s videos are a nest of teachings. From these videos, I learned five important lessons about women:

1- A woman's faithfulness is just an illusion. She doesn't exist. At her place, we have to talk about "presumption of fidelity".

2- Marriage does not guarantee loyalty or fidelity.

3- In the face of money, women deny all moral values. Only their interests prevail.

4- When they want to get something without putting in effort, they are ready for the worst compromises.

5- She's beautiful to be married, she'll always hope to meet a man who's nicer than her husband. And if by misfortune she meets him, she will cheat on you without mercy or remorse.View attachment 3145992
Unajipa tabu ya bure, jamaa anakula wake za watu na wake anàliwa vilevíle.

Tupo kwenye zama lazima utumie akili siyo hisia, kwanza mwanamke siyo ndugu yako, wala síyo property yako bali ni sex partner tu.

Msipojuwa mnaishi zama zipi ukawapa kipaumbele wanawake hóyo ni shida yako.

Maisha ya sasa ishi kimjini kimjini ilimradi mkeo analiwa kimyakimya hujui lolote na wewe watafune kimyakimya mpe heshima mkeo asijuwe.

Zama hizi mchawi pesa asikudanganye mtu yeyote, wanaoliwa asilimia kubwa ni tamaa hawaridhiki issue wala siyo nyege au eti hawakojoleshwi si kweli.
 
Back
Top Bottom