Msaada tafadhari wanaojua kiingereza naomba mnitafsirie haya kuhusu huyu Balthazar ili nijifunze mwanamke ni kiumbe gani?

Masai wamejiwekea utaratibu mzuri😄 ukimtamani mke wa mwenzio unatomba tu ila uweke "Men at Work" nje kwake.

Wao wanawake wanawachukulia kama appliances tu. Kama unavyomiliki blender unaweza ukamuazima jirani yako atumie kisha litabakia kuwa lako.

Element ya ubinafsi kwa wamasai haiko kabisa 😁

Na ndivyo hivyo inatakiwa iwe
 
Somo kubwa hapo ni :
mwanaume kacheat kwa mke mmoja na wanawake 400 mawecheat kwa wame zao.
 
Eeh sema changamoto zake ndio hizo, mtu akipenyeza kitu tu wote wanaisha[emoji1787]
Suala muhimu ni ku-ignore wanawake tusiwe matumaini makubwa kwao tutaumia sanaa women are Easy goer,
 
Mwenye link wa mzigo wote 400 wa mjomba tafadhari anirushie
 
Kwa hili jamaa mitazamo ya wengi itabadilika
Hii issues inakuwa mwalimu wa kufunza na darasa la kujifunza, tupo wengi ambao mitazamo itabadilika na wengi wetu tulio kua na mitazamo mingine juu ya mahisano na ndoa tumepata nguvu ya kukazia hoja zetu.

Wakati mwingine nature ina namna nyingi ya kufunza , na hili ni njia moja wapo ya nature iliyotumia kufunza.
 
Ndoa haikupi uhakika wa uaminifu, maana yake ni kwamba kuoa/kuolewa hakukuhakikishii wewe/mwenza wako mtakuwa waaminifu, mmoja au wote mnaweza kuwa kwenye ndoa na msiwe waaminifu, mkawa mnachapisha nje ya ndoa.
Hili mimi binafsi nililifamu muda kidogo, pale ambopo kwenye ndoa ni ngumu kupata sex na rahisi nje kupata sex nikaju na kuhitimisha ndoa ni kitu kingine ambacho dunia inakuaminisha utapata hiki na kile kwa wepesi ila ukishaingiamo ndio unakuta kinyume.
 
Suala muhimu ni ku-ignore wanawake tusiwe matumaini makubwa kwao tutaumia sanaa women are Easy goer,
Kabisa , kama mwanaume utahitaji kuishi kwa mateso makali ya kihisa mpe kipaombele kila mwanamke ulie na hisia nae, dunia itakukuwia ngumu mno.
 
Masai wamejiwekea utaratibu mzuri😄 ukimtamani mke wa mwenzio unatomba tu ila uweke "Men at Work" nje kwake.

Wao wanawake wanawachukulia kama appliances tu. Kama unavyomiliki blender unaweza ukamuazima jirani yako atumie kisha litabakia kuwa lako.

Element ya ubinafsi kwa wamasai haiko kabisa 😁
Sisi tunaona washamba kumbe watupita hatua kadhaa za upeo!
 
Ukizingatia kinachotutesa ni ubinafsi bora tungeishi kama wamasai.
Ndio maana mimi binafsi hii inayosemekana mume ama mke anauma haifanyi kazi nje ya ubinfsi tulio nao sisi baadhi ya viumbe, ukifanikiwa kuupunguza ukilema wa ubifsi walao unaweza kusogelea mantiki ya maisha ambayo ni furaha.
 
Hili mimi binafsi nililifamu muda kidogo, pale ambopo kwenye ndoa ni ngumu kupata sex na rahisi nje kupata sex nikaju na kuhitimisha ndoa ni kitu kingine ambacho dunia inakuaminisha utapata hiki na kile kwa wepesi ila ukishaingiamo ndio unakuta kinyume.
Inshort Wauza kumar watapanda chart kwa sababu ni wakweli na wawazi kuliko hawa wanaouza kumar indirect.

Watu wengi hawajui kama wanauziwa kumar na wake zao wakati ushahidi uko wazi ukiwa huna pesa ni migogoro ndani ya nyumba na kununiwa bila sababu.
 
Hii issues inakuwa mwalimu wa kufunza na darasa la kujifunza, tupo wengi ambao mitazamo itabadilika na wengi wetu tulio kua na mitazamo mingine juu ya mahisano na ndoa tumepata nguvu ya kukazia hoja zetu.

Wakati mwingine nature ina namna nyingi ya kufunza , na hili ni njia moja wapo ya nature iliyotumia kufunza.
Ni kweli kabisa ni mwalimu na somo kwa wengi wa vijana wasiojua zaidi na wale wanaoona tofauti
 
Back
Top Bottom