Msaada tafadhari wanaojua kiingereza naomba mnitafsirie haya kuhusu huyu Balthazar ili nijifunze mwanamke ni kiumbe gani?

Nimesha jifunza how to handle a woman........never put more trust in her.
Lazima mambo yako mengi yawe siri yako hata akiba yako asiijue kwani ni bora kuwafichia watoto
Wengi wao ni maslahi tu na hisia pia
Mfanyie kila kitu ila maudhi madogo tu anaweza kubadilika kwa tabia na hata kuwaza kukudhuru (sio wote) ila most of them

Ukimruhusu ajue kila kitu inaleta matatizo mengi na demand nyingi sana ndani ya nyumba
 
Mwanamke naona bora kumchukulia kama car accessories awepo asiwepo lazima uendelee na maisha yako......ukijikita sana kwa hivyo viumbe lazima ufail maisha tu
 
Kiufupi inshu ya baltasar imetoa dhana kwamba kwa wanawake wenye elimu kucheat ni kitu rahis kwao ni kama kula andazi
 
Hako katukio pichani kalikuwa ni ka chapchap?
 
Hako katukio pichani kalikuwa ni ka chapchap?
Mwanamke popote unapo muinamisha anakubali tu regardless of her respect hao ni watu wajabu imagine huyu ni mke wa waziri ya mambo ya ndani.
 
Nimeelewa lakini siwezi kumuelewesha mwingine, hiki ndio kingreza chetu tuliopitia shule za zamani.

Tuishi nao tu coz hakuna wa kutupatia utelezi zaidi yao.
Sasa sisi kosa letu ni gani jamani?
 
Video za Balthazar ni hazina ya mafundisho. Kutoka kwenye video hizo, nilijifunza masomo matano muhimu kuhusu wanawake:

1- Uaminifu wa mwanamke ni dhana tu. Haujawahi kuwepo. Badala yake, tunapaswa kuzungumza juu ya "dhana ya uaminifu".

2- Ndoa haihakikishi uaminifu au uadilifu.

3- Mbele ya pesa, wanawake hupuuza maadili yote ya kimaadili. Maslahi yao pekee ndiyo yanayopewa kipaumbele.

4- Wanapotaka kitu bila juhudi, wako tayari kwa makubaliano mabaya zaidi.

5- Ni mrembo wa kuolewa, lakini daima atakuwa na matumaini ya kukutana na mwanaume mzuri kuliko mumewe. Na ikiwa kwa bahati mbaya atakutana naye, atakusaliti bila huruma a
u majuto.
 
Masai wamejiwekea utaratibu mzuri😄 ukimtamani mke wa mwenzio unatomba tu ila uweke "Men at Work" nje kwake.

Wao wanawake wanawachukulia kama appliances tu. Kama unavyomiliki blender unaweza ukamuazima jirani yako atumie kisha litabakia kuwa lako.

Element ya ubinafsi kwa wamasai haiko kabisa 😁
 
Hili jambo linaongelewa na wanaume tu mbn wanawake hawaongei chochote!!!!?
 
Kula mzigo hadi mimba, marufuku kutangaza mtoto ni wako kwenye Boma la mwezio hata kama mtoto kazaliwa kafanana at
%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…