Msaada tafadhari

sometimes ni RSI( repetitive Stress Injuries) au spongelosis kwa kairuki wababaishaji sana hapo pole sana
 
ndugu yangu Tyta...unahitaji sana kuonana na Neurologist akahakikisha sio tatizo za mfumo wa fahamu. Yes inaweza kuwa tatizo la mifupa na/au viungo (Osteoarthritis) lakini kwa maelezo yako mafupi napata picha ya Neurology zaidi. Kairuki sidhani kama kuna Neurologist (wapo wachache sana hawa), nadhani ulionana na Orthopedician na ndio maana hata uchunguzi na utatuzi wake kukaa kimifupa/viuongo zaidi.

Tafadhali muone Dr Aris, anapatikana Muhimbili, lakini pia ana private clinic sijui wapi, ukimpata Muhimbili kama utataka kumuona huko kwenye clinic yake atakuelekeza. Ni Neurologist mzuri sana huyu na daktari mzuri sana pia. Nadhani kuna umuhimu wa kumuona haraka ili kama ni progressive neurologic disease uiwahi kama hujapata ulemavu. Pia nadhani unahitaji kuanza physiotherapy haraka ili kuregain strength katika mkono uliopoteza. Daktari atakushauri zaidi kwa hili.

Alternatively, unaweza pia kumuona Prof Matuja, naye yupo Muhimbili na ana clinic yake Upanga. Lakini first option ni kumuona Dr Aris. Goodluck.
 
Thanx wandugu,i wil try to see the neurologist
 
Fuata ishauri wa mkuu Riwa haraka iwezekanavyo...Mungu akubariki upone mkuu
 
Pole sana, kama walivo sema wengine kaonane na daktari akupe ushauri na tiba...
 

Habari ndugu, vipi ulifanikiwa tupe mrejesho kwani wenye matatizo tupo wengi!
 
Miaka 23, mwaka wa 2011
kwa hiyo sasa hivi utakuwa una miaka 27, big up! mkuu vpi? lakin ulitatua tatizo lako mkuu Tyta.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…