Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanx wandugu,i wil try to see the neurologist
Wanajf,mimi ni kijana wa miaka 23,nasoma chuo mwk wa pili...nimekua nasumbuliwa na tatizo fulani kwa muda mrefu sasa(yapata miaka 3)..ni kwamba nimepoteza uwezo wangu wa kuutumia vyema mkono wangu wa kulia katika kuandika..mwanzoni haukua sirias sn,nilianza kutambua mabadiliko katika mkono wangu kupitia mwandiko wangu ambao ulianza kubadilika na kuwa kazi kusomeka..baadae nilianza kutumia excesive force na kugrip pen kwa nguvu alimradi nipate enaf presha niweze kuandika vizuri..siku zilivyoenda ndipo hali ilizidi kua mbaya kwani kuna wakati nilishindwa hata kukontrol movement za vidole vyangu wakati wa kuandika..maumivu husikia sehemu za joint kwenye vidole,shoulder joints na hata kwenye uti wa mgongo sehem ya chini kdogo ya shingo.maumivu si wakati wote.uwezo wa kuandika kawaida umepotea kabisa kwa sasa.i hold the pen so weird during writing nowdays.nimeenda kwenye vituo vya kama dr.kairuki,ocen road,na kupimwa damu kuangalia kama nina upunguvu wa madini,tatizo la figo na hata xray..walichonifahamisha kwnye xray ni kua nina tatizo la shoulder osteoarthritis,nimepewa dawa lakini sijapata nafuu.before nilishawi kutumia dawa kama neurotin na nyingine za nerves.nimejaribu kuelezea kwa urefu japo inaweza kuwa ngumu kueleweka kwa tatizo hili sijawahi kumshuhudia nalo mtu mwingine..kuna wakati nilihisi nina tatizo linaloitwa writer's cramp,bt kwa dalili zake nyingi sina.tatizo hili ni wakati wa kuandika tu.natanguliza shukrani kwenu na ningependa nipate kujua walau mwenye tatizo kama hili au aliyepata mshuhudia mtu mwngne alikabilianaje nalo.