Tanganyika international school.
unamaanisha milioni 11???Tanganyika international ada ni mil 11 kwa miezi 9.Nakushauri umpeleke hapa maana ni shule ambayo inafaa kwa mtoto kusoma ukizingatia na hii globalized world.
Tanganyika international ada ni mil 11 kwa miezi 9.Nakushauri umpeleke hapa maana ni shule ambayo inafaa kwa mtoto kusoma ukizingatia na hii globalized world.
Tusiime
Tanganyika international ada ni mil 11 kwa miezi 9.Nakushauri umpeleke hapa maana ni shule ambayo inafaa kwa mtoto kusoma ukizingatia na hii globalized world.
mnh....................ni kweli elimu nzuri lakiiiiniTanganyika international ada ni mil 11 kwa miezi 9.Nakushauri umpeleke hapa maana ni shule ambayo inafaa kwa mtoto kusoma ukizingatia na hii globalized world.
Ila mkuu aliyeandika hii thread anatutega na matokeo yake hatafanikiwa katika lengo lake,aseme ana kiasi gani,sio tumtajie shule ya millions kumbe ana laki 5, pia anataka boarding au day?kuwa wazi mkuu uwezo wako wa kujikuna umeishia wapi?