msaada tafadhari!

msaada tafadhari!

Kahema

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2010
Posts
202
Reaction score
43
ndugu zangu, nimehamia dar hivi karibuni. nina mtoto wangu alikua anasoma darasa la kwanza. tafadhari mwenye kujua shule nzuri hapa mjini namaanisha shule binafsi anisaidie, kama hutajari nivizuri nikajua pia na gharama zao kwa mwaka. asanteni.
 
Tanganyika international ada ni mil 11 kwa miezi 9.Nakushauri umpeleke hapa maana ni shule ambayo inafaa kwa mtoto kusoma ukizingatia na hii globalized world.
 
unamaanisha milioni 11???
 
Tanganyika international ada ni mil 11 kwa miezi 9.Nakushauri umpeleke hapa maana ni shule ambayo inafaa kwa mtoto kusoma ukizingatia na hii globalized world.

kaa mkuu pensheni ya mtu alie pigakazi miaka 40 duh,sina swali!
 
Ila mkuu aliyeandika hii thread anatutega na matokeo yake hatafanikiwa katika lengo lake,aseme ana kiasi gani,sio tumtajie shule ya millions kumbe ana laki 5, pia anataka boarding au day?kuwa wazi mkuu uwezo wako wa kujikuna umeishia wapi?
 
Tanganyika international ada ni mil 11 kwa miezi 9.Nakushauri umpeleke hapa maana ni shule ambayo inafaa kwa mtoto kusoma ukizingatia na hii globalized world.
mnh....................ni kweli elimu nzuri lakiiiini
 
makurumla shule ya msingi,.ipo mwembechai,..tumesomea hapo na tumefaulu mpaka chuo kikuu..
 
Ila mkuu aliyeandika hii thread anatutega na matokeo yake hatafanikiwa katika lengo lake,aseme ana kiasi gani,sio tumtajie shule ya millions kumbe ana laki 5, pia anataka boarding au day?kuwa wazi mkuu uwezo wako wa kujikuna umeishia wapi?

samahani mkuu, namaanisha day school na ada isiyozidi laki 7 kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom