Box 2
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 506
- 117
Habar jaman,msaada wenu unahitajika tafadhar,rafki yangu anasumbuliwa na ganzi vidole vitatu vya mguun kwa muda wa miez 4 sasa,mwanzon ilikua ganz na maumiv makal lakin kwa sasa maumiv yamepungua sana ila sehem ya juu unapoanzia mguu maumivu yameanza yaan kiunon,nilimshaur aende hospital kupima kabla ya kutumia dawa,majibu ni kua alienda kupima agha khan ikaonekana hana tatizo,kaenda muhimbili kafanyiwa x ray ya mguu na mgongo hakuna kitu alipewa dawa za miez 2 katumia lakin ganzi bado,kaenda regency kapewa dawa bado ganz,naomben tumsaidie kwa anaejua dawa inayoweza msaidia kumaliza ganzi iwe ya hospital ama mitishamba maana utaalam unatofautiana ,,natanguliza shukran maana ananitegenea kwa ushaur