Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Kula vidonge vya kuzuia kutapika kama Meclozine 25 mg,Unakula kidonge kimoja lisaa limoja mpaka mawili kabla safari..Dose inayofata unatakiwa uchuke masaa 12 baadae!
Kama ni mtapikaji atatapika hata Nyongo!!ukiwa unasafiri funga kabisa kula usinywe hata maji
ukiwa unasafiri funga kabisa kula usinywe hata maji