Msaada tafadhari!!!

Msaada tafadhari!!!

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
natumai mu bukher wa afya!
jf dokta naomba msaada tatizo la kutapika ndani ya bus pind naposafir, kama kuna mwenye auelewa na tiba ya hili tatizo anijuze maana imekua ni kero kubwa kwang
 
Kula vidonge vya kuzuia kutapika kama Meclozine 25 mg,Unakula kidonge kimoja lisaa limoja mpaka mawili kabla safari..Dose inayofata unatakiwa uchuke masaa 12 baadae!
 
Back
Top Bottom