Msaada tafadhari!

Msaada tafadhari!

lutamyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
641
Reaction score
159
Wakuu naomba msaada wenu,mke wangu kajifungua Jana kwa op tatizo ni kuwa tangu SAA 11 alipojifungua mpaka sasa mtoto hajanyonya mama anasema maziwa hamna.

Nisaidieni tafadhari ndugu zangu. Mzizimkavu, Lizy
 
Wakuu naomba msaada wenu,mke wangu kajifungua Jana kwa op tatizo ni kuwa tangu SAA 11 alipojifungua mpaka sasa mtoto hajanyonya mama anasema maziwa hamna. Nisaidieni tafadhari ndugu zangu. Mzizimkavu, Lizy
Dawa ya maziwa ya mama yanayo chelewa kutoka unaweza kunywa uji, mtori mwepesi au uji wa wenye pilipli manga ama chai yenye pilipili manga.

Kama mama amezaa kwa operation, maziwa yaweza kuchelewa kutoka hadi hapo atakapoanza kula.
 
Asante sana mkuu Majigo. Mkuu Mzizi Mkavu motto anapata chakula yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom