Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ya maziwa ya mama yanayo chelewa kutoka unaweza kunywa uji, mtori mwepesi au uji wa wenye pilipli manga ama chai yenye pilipili manga.Wakuu naomba msaada wenu,mke wangu kajifungua Jana kwa op tatizo ni kuwa tangu SAA 11 alipojifungua mpaka sasa mtoto hajanyonya mama anasema maziwa hamna. Nisaidieni tafadhari ndugu zangu. Mzizimkavu, Lizy