Scorpa
Member
- Jun 23, 2019
- 55
- 24
Ni wiki ya pili sasa nasumbuliwa na matatizo ya fuatayo.
Maumivu ya Koo, kuhisi Kama kitu kimekwama kooni na kukakamaa kwa shingo na shingo kupata joto hasa napotoka mazoezini.
Maumivu ya joint na baadhi ya sehemu za mwili.
Miguu kuwaka Moto, vitu kutembea mwilini na vitu kuchomachoama mwilini hasa nyakati za usiku Niki nimepumzika.
Sauti ya kukwaruza.
Nimeenda hospital nikatoa maelezo nikapewa dawa pia nikachomwa sindano tano lakini bado naona hali Ni ileile.
Natumaini nitapata msaada. Ahsante.