Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

dongbei

Ni kweli Mkuu nimeiona hiyo sehemu ya recommended applicants.

Nakubaliana na wewe kabisa
 
Last edited by a moderator:
Tangazo linasema...Recommended candidates are required personally to conduct online applications. Utaingia kwenye links zilizopo hapo juu. Maana yake lazima uwe recommended na Wizara.

Hope nimefafanua kidogo
Yas umefafanua..kwanza nijaribu kupata hilo gazeti nisome vizuri..thanks
 
Umeipata wapi hii Mkuu? Na unajifunzia wapi?

Kwa watanzania waliopo huko na lugha yao unajifunzia huko...ni baadhi ya vyuo ndiyo utafundishwa Kingereza na kichina kubaki kama somo la kawaida...
 
Yapyap ni lazima upige kwanza lugha yao kwa muda wa mwaka mmoja its compulsory..all the best kwa watakaopata coz Chinese language ni hot cake kwa sasa!!!wish you luck!!!
 
Jinsi ya kuomba
1. Unaandika barua kwenda kwa
The Permanent Secretary
Ministry of Education and Vocational Training
P.o.box 9121
DSM

Taja kada/field of study unayoomba mf. MASTERS DEGREE IN THE FIELD OF MEDICINE

Ambatisha nakala ya
vyeti vya shule na chuo, cheti cha kuzaliwa.

Kwa aliyeajiriwa ni vyema kupata barua ya mwajiri/kupitishia kwa mwajiri

Pia; waliowahi kupata mkopo wa HESLB (Bodi ya Mikopo), sharti waonyeshe kuwa wameshaanza kulipa

Deadline ni 4 March 2015.

Baada ya Wizara kupitia maombi yote, watatoa nominated candidates kutoka TANZANIA, hao watapewa namba ambayo itawawezesha ku apply online kwa hiyo scholarship.

HUU NDIO MCHANGO WANGU KATIKA MADA HII.
 
Aksante sana..mfano mtu hajapitishaa kwa mwajiri na hajaanza kulipa loan board hawi considered kabisa??
 
Aksante sana..mfano mtu hajapitishaa kwa mwajiri na hajaanza kulipa loan board hawi considered kabisa??

Mimi pia nina uzoefu kidogo. Kuhusu kupitisha kwa mwahiri kama tangazo halikusema hivo basi haina ulazima sana ila ukiweza ni nzuri zaidi. Niliomba mwaka huo tangazo halikusema tupitishe kwa mwajiri na nilipata ila kuna mwaka mmoja nadhan mwaka jana niliona walisema upitishe kwa mwajiri.

Kuhusu loan board ni muhimu sana. Nadhani haiwi considered kabisa but you still have option to do. Uwe una kazi au huna kazi waweza nenda loan board mtaelewana tu watakuelekeza chakufanya then watakupa barua utakayo ambatanisha na application yako. Navojua mimi pia katika hii stage sio lazima kuonyesha kama ushaanza kulipa ila ukiwa nominated ndio lazima.

Kama bado kuna sehem unawish kuelewa zaidi unaweza ni PM mawasiliano yako.
 
FMB,

Mwaka uiopata ulikuwa nominated tu then hukufanikiwa kupata scholarship au ulipata hadi scholarship yenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ni miaka ya nyuma kidogo 2010. Nilipata na nikaenda na nisharudi. Nategemea kurudi tena kwa PhD kama watanichagua tena.

Hongera Mkuu. Natumai watatuchagua then tuombe huko online kwa vyuo vyao. Ngoja tusubiri maana deadline ya kupeleka maombi WIZARANI ilikuwa last wiki 4 March.
 
Hongera Mkuu. Natumai watatuchagua then tuombe huko online kwa vyuo vyao. Ngoja tusubiri maana deadline ya kupeleka maombi WIZARANI ilikuwa last wiki 4 March.

Asante mkuu. MIE nimeitea leo muda si mrefu hivo kama hujaitwa kua makini na simu yako. Nimetumiwa sms kwenda kufanya online application na maelekezo mengine.
 
Asante mkuu. MIE nimeitea leo muda si mrefu hivo kama hujaitwa kua makini na simu yako. Nimetumiwa sms kwenda kufanya online application na maelekezo mengine.

Hongera Comrade kwa ushindi wa kipindi cha kwanza.

Tupo pamoja Mkuu. Nami nawasubiria...
 
Back
Top Bottom