Yas umefafanua..kwanza nijaribu kupata hilo gazeti nisome vizuri..thanksTangazo linasema...Recommended candidates are required personally to conduct online applications. Utaingia kwenye links zilizopo hapo juu. Maana yake lazima uwe recommended na Wizara.
Hope nimefafanua kidogo
Uh lala kumbe lugha ni kichina..hatari mbonaAnyeomba itabidi ajifunze lugha yao mwaka mmoja...
Umeipata wapi hii Mkuu? Na unajifunzia wapi?Anyeomba itabidi ajifunze lugha yao mwaka mmoja...
Umeipata wapi hii Mkuu? Na unajifunzia wapi?
Mkuu application form inapatikana vipi..ntacheki ofisi za mwananchi kama naeza pata hilo gazeti
Tuko pamoja mkuu. Nimewatumia ngoja niwasklizie.
Tangazo hilo hapo nimelipiga picha...
Aksante sana..mfano mtu hajapitishaa kwa mwajiri na hajaanza kulipa loan board hawi considered kabisa??Jinsi ya kuomba
1. Unaandika barua kwenda kwa
The Permanent Secretary
Ministry of Education and Vocational Training
P.o.box 9121
DSM
Taja kada/field of study unayoomba mf. MASTERS DEGREE IN THE FIELD OF MEDICINE
Ambatisha nakala ya
vyeti vya shule na chuo, cheti cha kuzaliwa.
Kwa aliyeajiriwa ni vyema kupata barua ya mwajiri/kupitishia kwa mwajiri
Pia; waliowahi kupata mkopo wa HESLB (Bodi ya Mikopo), sharti waonyeshe kuwa wameshaanza kulipa
Deadline ni 4 March 2015.
Baada ya Wizara kupitia maombi yote, watatoa nominated candidates kutoka TANZANIA, hao watapewa namba ambayo itawawezesha ku apply online kwa hiyo scholarship.
HUU NDIO MCHANGO WANGU KATIKA MADA HII.
Aksante sana..mfano mtu hajapitishaa kwa mwajiri na hajaanza kulipa loan board hawi considered kabisa??
Jamani nsaidieni namna ya kuapply na vitu vya kuweka..nimebanwa kazini kabisa nashindwa kutafuta gazeti..please
Mwaka uiopata ulikuwa nominated tu then hukufanikiwa kupata scholarship au ulipata hadi scholarship yenyewe??
Mkuu ni miaka ya nyuma kidogo 2010. Nilipata na nikaenda na nisharudi. Nategemea kurudi tena kwa PhD kama watanichagua tena.
Hongera Mkuu. Natumai watatuchagua then tuombe huko online kwa vyuo vyao. Ngoja tusubiri maana deadline ya kupeleka maombi WIZARANI ilikuwa last wiki 4 March.
Asante mkuu. MIE nimeitea leo muda si mrefu hivo kama hujaitwa kua makini na simu yako. Nimetumiwa sms kwenda kufanya online application na maelekezo mengine.