Msaada: Tangazo la Wizara ya Afya halifunguki

Msaada: Tangazo la Wizara ya Afya halifunguki

Rasokauzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
518
Reaction score
302
Habari wana JF kuna tangazo limewekwa katika website ya wizara ya afya http/www.moh.go.tz browser yangu ya uc inasumbua haitaki ku preview kama kuna mwenye uwezo alipachike hilo tangazo hapa
 
Back
Top Bottom