Msaada: Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30)

[emoji19] [emoji19] [emoji19] huyu kuku ananisumbua.
 
Mlete nimchinje nikuangalizie kuna nini lakini nikisha mchi ja analiwa na mizimu
 
Bora huyo anawika saa 2:30
Nlikua na jojoo anawika muda wote, yani akikurupuka tu anawika na sio mara moja, ana kelele balaa, sa tatu, nne, tano, saba, ye anawika tu nikaona isiwe shida!!!!
Kwn huyo kuku hachinjiki
 
Kwn huyo kuku hachinjiki
Ulivouliza hivo nimekumbuka jibu la maza angu ukisuggest Kuku achinjwe nyumbani especially jogoo anakuuliza "hao majike utawapanda wewe" ha ha ha nishamchinja alikua kero
 
Kikwetu jogoo kuwika mida isiyo ya kawaida huwa ni utabiri wa msiba na ikitokea huwa tunamchinja na kumla,
 
Mkuu;
Weye kabila gani?? Kwetu wanasema; Jogoo kuwika kabla ya wakati ni uchuro. Ni sawa na bundi kulilia juu ya paa yako. Sasa, mtafute mtaalam akuelekeze cha kufanya. Shauri lako.
Si waona maisha yalivyo matamu?? Kama unagombea nafasi yeyote jiondoe jina lako kwani mbele yako ni kiza kinene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…