Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
Hongera sana haya uwe na mchana mwema babyNajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana haya uwe na mchana mwema babyNajua
kidogo kama nakuelewa.Mpereke akaombewe kwa warokore usipate shida
Kwn huyo kuku hachinjikiBora huyo anawika saa 2:30
Nlikua na jojoo anawika muda wote, yani akikurupuka tu anawika na sio mara moja, ana kelele balaa, sa tatu, nne, tano, saba, ye anawika tu nikaona isiwe shida!!!!
Ulivouliza hivo nimekumbuka jibu la maza angu ukisuggest Kuku achinjwe nyumbani especially jogoo anakuuliza "hao majike utawapanda wewe" ha ha ha nishamchinja alikua keroKwn huyo kuku hachinjiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Cheki system yake ya saa
1. Ondoa auto update
2. weka 12 hourly mode badala ya 24
zinauzwa wapi?Huenda kaangusha saa yake sasa awika kwa kukisia mtafutie nyingine.