Siyo utani ni shida ya kweli...
Kuna mtu kanifuata hapa anasema katumiwa parcel kutoka UK na imefikia Kenya sasa watu wa Kenya wamemtumia sms Whatsapp wamemwambia aende akachukue mzigo wake ndani ya saa 12 akiwa na orijino copy ya ID. Kinachomtatiza ni process za kufika hapo Uwanja wa Jomo Kenyatta anahisi muda hautoshi amejaribu kuwa-sms wampe maelekezo zaidi lakini meseji haioneshi kusomwa (hawapo online)
Zingatia hiliUtapeli huo,
yakipita hayo masaa 12.. itakuwaje ?Siyo utani ni shida ya kweli...
Kuna mtu kanifuata hapa anasema katumiwa parcel kutoka UK na imefikia Kenya
Watu wa Kenya wamemtumia sms Whatsapp wamemwambia aende akachukue mzigo wake ndani ya saa 12 akiwa na orijino copy ya ID.
Kinachomtatiza ni process za kufika hapo Uwanja wa Jomo Kenyatta anahisi muda hautoshi amejaribu kuwa-sms wampe maelekezo zaidi lakini meseji haioneshi kusomwa (hawapo online)
Hebu nifafanulie zaidi maana hata mimi nilimwambia kuwa hawa ni matapeli akaniaminisha sana kuwa siyo utapeli... Kuna mpaka risiti yenye jina lake, aina ya vitu vilivyomo kwenye parcel, sehemu ulipokusudiwa kwenda, gharama za kutuma, na mambo mengine kibao! Nilichomjibu ni kwamba Mimi sina uzoefu na maswala haya yanayohusu ndege au maswala ya kimataifaUtapeli huo,
Ebooh huu ujinga mtaachaga lini?Siyo utani ni shida ya kweli...
Kuna mtu kanifuata hapa anasema katumiwa parcel kutoka UK na imefikia Kenya
Watu wa Kenya wamemtumia sms Whatsapp wamemwambia aende akachukue mzigo wake ndani ya saa 12 akiwa na orijino copy ya ID.
Kinachomtatiza ni process za kufika hapo Uwanja wa Jomo Kenyatta anahisi muda hautoshi amejaribu kuwa-sms wampe maelekezo zaidi lakini meseji haioneshi kusomwa (hawapo online)
Ndg. Kama ni wale jamaa wa kukutana whatsap, hata mimi nilikutana nao. Dada mzuri kutoka Australia kumbe ni picha tu ila ni wahuni wa Nigeria na Senegal nililijua hilo baada ya kugoogle namba kiunganishi ya dada yule aliyesema ni kutoka Australia kumbe ni code number ya Senegal. Na kabahasha kangu kangetoka Australia na ningekapokelea Senegal. Nilipogundua ni matapeli wa mtandaoni nikaachana nao.Hebu nifafanulie zaidi maana hata mimi nilimwambia kuwa hawa ni matapeli akaniaminisha sana kuwa siyo utapeli... Kuna mpaka risiti yenye jina lake, aina ya vitu vilivyomo kwenye parcel, sehemu ulipokusudiwa kwenda, gharama za kutuma, na mambo mengine kibao! Nilichomjibu ni kwamba Mimi sina uzoefu na maswala haya yanayohusu ndege au maswala ya kimataifa
HAKIKA.Matapeli hao. Receipt za kutengenezwa hizo, siyo halisi. Baadaye watamwambia atume hela wamtumie mzigo wake kwenye nearest airport.
Unafaa kuwa mwalimu kwenye maswala haya lakini punguza ukali wa maneno basiEbooh huu ujinga mtaachaga lini?
Bila ya shaka huyo aliyetuma mzigo mmejuana naye FB !!
We subiri hao wakenya wakutumie text kwamba uwatumie 50K Hadi 200K kupitia safaricom mpesa ili wauship mzigo kuja Tz afu wewe ukapokelee pale JNIA.
Ukishatuma tu ndio wanakublock mazima kule Whatsapp na muhusika naye anakublok
Mimi nilikutana na jamaa hivyo hivyo anajidai yeye ni boss wa UK nikamuuliza mbona code namba ya Nigeria akajing'atang'ata hapo nikamwambia sihitaji kuwasiliana naye mpaka aniambie amepata wapi namba yangu na ana shida gani... Akasepa mazima baadae nikajaga kugundua kumbe ni zile vpn za internet za bure nikitumia ndio napokea wageni wengi sana Whatsapp basi nikaziondoa kwenye simu yangu haraka sanaNdg. Kama ni wale jamaa wa kukutana whatsap, hata mimi nilikutana nao. Dada mzuri kutoka Australia kumbe ni picha tu ila ni wahuni wa Nigeria na Senegal nililijua hilo baada ya kugoogle namba kiunganishi ya dada yule aliyesema ni kutoka Australia kumbe ni code number ya Senegal. Na kabahasha kangu kangetoka Australia na ningekapokelea Senegal. Nilipogundua ni matapeli wa mtandaoni nikaachana nao.
Mwache ananyota ya kutapeliwa.Mimi nilikutana na jamaa hivyo hivyo anajidai yeye ni boss wa UK nikamuuliza mbona code namba ya Nigeria akajing'atang'ata hapo nikamwambia sihitaji kuwasiliana naye mpaka aniambie amepata wapi namba yangu na ana shida gani... Akasepa mazima baadae nikajaga kugundua kumbe ni zile vpn za internet za bure nikitumia ndio napokea wageni wengi sana Whatsapp basi nikaziondoa kwenye simu yangu haraka sana
Huyu raia aliyeniletea hii hoja yake inaonekana wamempania (wameanza kumpangilia) tangu muda sana maana nimempa mifano mingi ya utapeli lakini ananiamini nusunusu bado anatamani kuendelea nao anasema yeye ameanza nae muda sana huyo binti kuwasiliana naye (na walianzia huko kwenye facebook)
NakaziaUtapeli huo,
Absolute truethUkitaka uushinde utapeli epuka slopes
🔧🔧🔧Utapeli huo,