Msaada: Taratibu za kupokea mzigo kutoka UK kupitia Kenya ni zipi?

Msaada: Taratibu za kupokea mzigo kutoka UK kupitia Kenya ni zipi?

Wamenitumia picha za kibox kinaanuani zangu wanasema nitume pesa wanisafirishie mzigo kutoka Kenya adi TZ, nikawaambia ninandugu apo Kenya basi akachukue pale airport, wanakataa. nilikuwa nishawatambua ila nawaenjoy nione mwisho wao
 
Siyo utani ni shida ya kweli...

Kuna mtu kanifuata hapa anasema katumiwa parcel kutoka UK na imefikia Kenya

Watu wa Kenya wamemtumia sms Whatsapp wamemwambia aende akachukue mzigo wake ndani ya saa 12 akiwa na orijino copy ya ID.

Kinachomtatiza ni process za kufika hapo Uwanja wa Jomo Kenyatta anahisi muda hautoshi amejaribu kuwa-sms wampe maelekezo zaidi lakini meseji haioneshi kusomwa (hawapo online)
1. Huo mzigo aliuagiza yeye ama ametumiwa na mtu anayemfahamu?

Kama mzigo umetumwa Kenya na Yeye yupo Tz, means mtumaji amekosea address lakini watu wa mamlaka hawawezi kukuharakisha kiasi hicho
 
Back
Top Bottom