Removers
Member
- Nov 1, 2018
- 73
- 40
Habarini ,wakuu
Naomba msaada kwa wale wenye uzoefu/walio na ujuzi na pia waliofanikisha ujenzi wa Nyumba za mbao ,,mfano mzuri Nyumba za wenzetu wa ulaya, wanipe msaada na maelekezo juu ya mahitaji muhimu ya kuanzisha ujenzi huu, mazingira yanayofaaa kujenga..
Nimeamua nianze ujenzi huu, kutokana na hali ya uchumi, nna miti kadhaa ya mbao, hivyo nakwepa baadhi ya gharama Kama za cement (kwa ajili ya kupandisha ukuta ) na matofali...
Naombeni msaada wa mchanganuo na mahitaji yake kutoka kwenu wakuu ili niweze kuanza ujenzi huu ikiwezekana na ramani ya muonekano wa baadhi ya Nyumba Kama upo mnisaidie..
Naomba, kuwasilishaa..