Msaada: Taratibu za namna ya kujenga nyumba ya kisasa ya mbao

Msaada: Taratibu za namna ya kujenga nyumba ya kisasa ya mbao

Yes; Mninga ni moja ya Hardwood pia kuna Mikongo (Mikola), Mikurungu, Mbanga, Mpilipili, Mbambakofi, Mkaratusi na Casuarina (Hardwood plantation), Migando , Mtundu, Misima, Loliondo na kadhalika. Hardwood au Mbao ngumu zinakuwa sumu asilia au gundi ambazo haziruhusu wadudu kushambulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mbao za aina gani mkuu ambazo ni hardwoo ???

mfamo mninga ni hardwood ???

Yes; Mninga ni moja ya Hardwood pia kuna Mikongo (Mikola), Mikurungu, Mbanga, Mpilipili, Mbambakofi, Mkaratusi na Casuarina (Hardwood plantation), Migando , Mtundu, Misima, Loliondo na kadhalika. Hardwood au Mbao ngumu zinakuwa sumu asilia au gundi ambazo haziruhusu wadudu kushambulia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hizo ndio hardwoods, ila kwa sasa ukikutwa na mkurungu unapewa kesi sawa na aliyekutwa na meno ya tembo.
Softwoods ni Cyprus na pine trees, sijui mtiki unatoa mbao gani.
 
Mkuu hizo ndio hardwoods, ila kwa sasa ukikutwa na mkurungu unapewa kesi sawa na aliyekutwa na meno ya tembo.
Softwoods ni Cyprus na pine trees, sijui mtiki unatoa mbao gani.
Dah kumbe, mbona hatari mkuu ..kweli .maliasili wamechachamaaa
 
Yes; Mninga ni moja ya Hardwood pia kuna Mikongo (Mikola), Mikurungu, Mbanga, Mpilipili, Mbambakofi, Mkaratusi na Casuarina (Hardwood plantation), Migando , Mtundu, Misima, Loliondo na kadhalika. Hardwood au Mbao ngumu zinakuwa sumu asilia au gundi ambazo haziruhusu wadudu kushambulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, ngoja nikomae na mninga.
 
Adui mkubwa wa nyumba zilizojengwa kwa mbao ni mchwa na mvua. Nchi za ulaya na marekani, juu ya latitudes 30 kuelekea kaskazini hazina mvua zinazomiminika kama huku kwetu, aidha wadudu aina ya mchwa ni nadra sana kuishi katika mazingira hayo. Nchi zilizo karibu zaidi na ncha ya kaskazini, ndizo zenye tunu ya kuweza kujenga nyumba za mbao na kudumu kwa miaka karibu sawa na nyumba za matofali au mawe. Naamini watalaamu wa mambo ya ujenzi wanapita humu.... utapata majibu sahihi bila shaka.
... Jamaa kaona picha za nyumba za aina hiyo kutoka Sweden, Finland, Greenland, Canada naye anataka ajenge hivyo "kuokoa gharama".
 
Asante ,mkuu ngoja nikomae na mninga
Yaani ukomae na mninga kujenga nyumba ya mbao full suit ili kuokoa gharama? Ni kuokoa au kuongeza gharama? Probably you are joking not otherwise!
 
Yaani ukomae na mninga kujenga nyumba ya mbao full suit ili kuokoa gharama? Ni kuokoa au kuongeza gharama? Probably you are joking not otherwise!
Niko serious mkuu ,,
 
Asante
Asante kwa ushauri kiongozi
Unataka kujenga nyumba ya mbao ya aina gani? Nyumba nyingi zilizopo Tanzania zinazojengwa kienyeji hazina quality. Wengi hujenga hivi:
1. Unajenga msingi kama kawaida eh wa mawe au tofali.

2. Ukimaliza unatafuta nguzo unazisimamisha kwa kutumia mbao papi nene za kulaza. Hapa unatumia misumari.

3. Ukishakuwa na ile structure basi unapiga kuta za mbao, na baadae unapaua.

Kuna wengine hawana uwezo hata msingi hawaweki bali wanaanza kusimika nguzo tu. Ukiamua kujenga nyumba ya mbao ya kitaalam kama walivyosema wengine ni ghali na gharama zake zinaweza kubwa kuliko nyumba ya tofali.
 
How to Build a House for Under £150,000
Wondering how to build a house on a tight budget? Follow these golden rules and you’ll get your self build project off on the right track
Need tips for how to build a house on a tight budget? Then look no further. Building your own home is likely to be the largest expenditure of your life, but it need not be prohibitively expensive. Many self builders have managed to build a home that meets their exact needs and lifestyle for under £150,000.

But in order to bring your build in on a tight budget, you need to make some sensible choices, from designing something relatively simple to avoiding false economies.

If you are looking for ideas on how to build a house for under £150,000, follow these practical tips to keep a handle on your costs throughout your project and keep costs low without compromising on quality.
 
Back
Top Bottom