Upo mkuuBora ujenge nyumba za bati tupu,utatumia mbao chache na bati,Ila kama uko maeneo yenye joto kali unaweza kuiona nyumba ni jehanamu ya duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mbao za aina gani mkuu ambazo ni hardwoo ???
mfamo mninga ni hardwood ???
Yes; Mninga ni moja ya Hardwood pia kuna Mikongo (Mikola), Mikurungu, Mbanga, Mpilipili, Mbambakofi, Mkaratusi na Casuarina (Hardwood plantation), Migando , Mtundu, Misima, Loliondo na kadhalika. Hardwood au Mbao ngumu zinakuwa sumu asilia au gundi ambazo haziruhusu wadudu kushambulia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, ngoja nikomae na mninga.Yes; Mninga ni moja ya Hardwood pia kuna Mikongo (Mikola), Mikurungu, Mbanga, Mpilipili, Mbambakofi, Mkaratusi na Casuarina (Hardwood plantation), Migando , Mtundu, Misima, Loliondo na kadhalika. Hardwood au Mbao ngumu zinakuwa sumu asilia au gundi ambazo haziruhusu wadudu kushambulia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo ndio hardwoods, ila kwa sasa ukikutwa na mkurungu unapewa kesi sawa na aliyekutwa na meno ya tembo.
Softwoods ni Cyprus na pine trees, sijui mtiki unatoa mbao gani.
... Jamaa kaona picha za nyumba za aina hiyo kutoka Sweden, Finland, Greenland, Canada naye anataka ajenge hivyo "kuokoa gharama".Adui mkubwa wa nyumba zilizojengwa kwa mbao ni mchwa na mvua. Nchi za ulaya na marekani, juu ya latitudes 30 kuelekea kaskazini hazina mvua zinazomiminika kama huku kwetu, aidha wadudu aina ya mchwa ni nadra sana kuishi katika mazingira hayo. Nchi zilizo karibu zaidi na ncha ya kaskazini, ndizo zenye tunu ya kuweza kujenga nyumba za mbao na kudumu kwa miaka karibu sawa na nyumba za matofali au mawe. Naamini watalaamu wa mambo ya ujenzi wanapita humu.... utapata majibu sahihi bila shaka.
... You are right; fully matured mtiki is the hardest wood known.
Dah kumbe , mbona hatari mkuu ..kweli .maliasili wamechachamaaa
Yaani ukomae na mninga kujenga nyumba ya mbao full suit ili kuokoa gharama? Ni kuokoa au kuongeza gharama? Probably you are joking not otherwise!Asante ,mkuu ngoja nikomae na mninga
Yaani ukomae na mninga kujenga nyumba ya mbao full suit ili kuokoa gharama? Ni kuokoa au kuongeza gharama? Probably you are joking not otherwise!
... ana shamba la mninga?
Bora ujenge nyumba za bati tupu,utatumia mbao chache na bati,Ila kama uko maeneo yenye joto kali unaweza kuiona nyumba ni jehanamu ya duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini kabisa udhibitisho huwo huna,Acha kutuharibia siku warombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tafuta wachaga warombo humu maana ndo nyumba zao izo kwao
Unataka kujenga nyumba ya mbao ya aina gani? Nyumba nyingi zilizopo Tanzania zinazojengwa kienyeji hazina quality. Wengi hujenga hivi:Asante
Asante kwa ushauri kiongozi