Ndugu zanguni, wanabodi!
Mke wangu ni mja mzito na kwa mujibu wa clinic yake na amepima pia kile kipimo cha utra sound na ikajulikana kwamba angejifungua tarehe 3 ya mwezi wa nne, cha ajabu hadi leo tarehe 10/4 bado hajajifungua na wala bado zile dalili hazipo.
Naombeni msaada na ushauri kuhusiana na hili tatizo, je tatizo la kiafya au ni kawaida?
Hii inanifanya mimi na yeye pia tuishi kwa wasiwasi mwingi hasa ukizingatia kwamba hii mimba yake ya kwanza.
Thanks and best regards!
Kirumi.