Msaada tarehe ya kupata mimba


Ni kweli
 
ukifanya mapenzi kuanzia siku ya kumi namoja adi kumi na tatu ukiacha je mwana mke anaweza kushika mimba kwa mwenye mzunguko wa siku 28
 
Mahusiano na sio mausiano halafu mkuu hii kitu imejadiliwa sana kwenye jukwaa la doctor kule utapata msaada zaidi
 

Ni Pm,tarehe yako ya mwisho MP, idadi ya siku katika mzunguko eg 28,30
 
Fuata ushauri wa hawa watu, usidharau, mwenzio ss nina mimba ya miezi 5, kutokea humuhumu baada ya kuhangaika sana na kuliwa hela vibaya...kuwa tu makini
 
ukifanya mapenzi kuanzia siku ya kumi namoja adi kumi na tatu ukiacha je mwana mke anaweza kushika mimba kwa mwenye mzunguko wa siku 28

Mkuu hata siku ya tisa,ikifanyika deep penetration,mbegu zinaweza kuishi hadi siku tano na yai likipevuka tu,linarutubishwa na mimba hutokea!
 
Kwahiyo siku za hatari sio kuanzia siku ya 11 tangu ameanza kubleed ila ni kuanzia siku ya 6? Msaada tafadhari...
 
Kwahiyo kutokana na hizo speed na lifetime zao siku za hatari haswa ni kuanzia siku ipi mpaka siku ipi? Msaada tafadhri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…