Msaada tarehe ya kupata mimba

Msaada tarehe ya kupata mimba

Nmesoma comment yako, ulichoandika ni sahihi 50% nikiwa kama mwalim, hizo 50% ulizoshindwa ni kwenye spidi na life time of X and Y-sperms.

Y-sperm are the one which are faster than X-sperm and they die quickly (48 hours),

X-sperm, are slower in speed but they have long life span (72 hours).

Viti vingine viko sawa.

Ni kweli
 
ukifanya mapenzi kuanzia siku ya kumi namoja adi kumi na tatu ukiacha je mwana mke anaweza kushika mimba kwa mwenye mzunguko wa siku 28
 
Mahusiano na sio mausiano halafu mkuu hii kitu imejadiliwa sana kwenye jukwaa la doctor kule utapata msaada zaidi
 
nilianza kutumikia kama ifuatavyo. mwezi wa kwanza tar 18 nikiwa Iringa, Mwezi wa pili tar 15 nikiwa Tanga na mwezi huu ni tar 16 yaani leo. labda nakosea maana nimejaribu njia nilizosoma hapa lakini wapi. hapa nataka siku ya uhakika ili nikishindwa niangalie njia ya kwenda hospitali.

Ni Pm,tarehe yako ya mwisho MP, idadi ya siku katika mzunguko eg 28,30
 
Fuata ushauri wa hawa watu, usidharau, mwenzio ss nina mimba ya miezi 5, kutokea humuhumu baada ya kuhangaika sana na kuliwa hela vibaya...kuwa tu makini
 
ukifanya mapenzi kuanzia siku ya kumi namoja adi kumi na tatu ukiacha je mwana mke anaweza kushika mimba kwa mwenye mzunguko wa siku 28

Mkuu hata siku ya tisa,ikifanyika deep penetration,mbegu zinaweza kuishi hadi siku tano na yai likipevuka tu,linarutubishwa na mimba hutokea!
 
Kwa kawaida mwanaume ana XY wakati mwanamke ana XX. XY ni mbegu zilizopo kwa mwanaume wakati XX ni mayai yaliyopo kwa mwanamke.Mbegu X iliyoko kwa mwanaume ina speed zaidi ya Y. X iliyoko kwa mwanaume huishi saa 24 na hufa wakati Y speed yake ni taratibu na hudumu kwa masaa 72.X husababisha mtoto wa kike wakati Y husababisha mtoto wa kiume.Unapokutana na mwanamke siku ya sita tangu amalize hedhi huweza kusababisha mtoto wa kuime kwasababu yai XX la mwanamke linakuwa halifika nyumba ya uzazi. Wakati huo XY zinapokuwa kwenye nyumba ya uzazi zitadumu saa 24 mbegu X ya mwanaume inakufa na kubaki Y ikisubiri yai X toka kwa mwanamke kufika nyumba ya uzazi. Hivyo maana yangu katika kuweka "mtoto wa kiume au mtoto wa kike, ilikuwa ni katika mtazamo huo" Maana halisi ni kuwa mwanaume anatakiwa kulala na mwanamke siku ya sita halafu aache asubiri matokeo ili aweze kupata mtoto wa kiume kwani alifanya tena na siku ya saba atakuwa ameweka mbegu X itakayo dumu siku nzima nyingine wakati ile X ya jana yake imeshakufa na kubaki Y ikiisubiri XX ya mwanamke kuungana kupata Baby boy.
Kwahiyo siku za hatari sio kuanzia siku ya 11 tangu ameanza kubleed ila ni kuanzia siku ya 6? Msaada tafadhari...
 
Nmesoma comment yako, ulichoandika ni sahihi 50% nikiwa kama mwalim, hizo 50% ulizoshindwa ni kwenye spidi na life time of X and Y-sperms.

Y-sperm are the one which are faster than X-sperm and they die quickly (48 hours),

X-sperm, are slower in speed but they have long life span (72 hours).

Viti vingine viko sawa.
Kwahiyo kutokana na hizo speed na lifetime zao siku za hatari haswa ni kuanzia siku ipi mpaka siku ipi? Msaada tafadhri...
 
Niliona hii picha sehemu. Nadhani itakusaidia


MZUNGUKO WA HEDHI.jpg
 
Back
Top Bottom