Kwa mahesabu ya kawaida ni kama hawako sahihi, nenda tena kliniki wakakadirie upya. Au fuata ushauri huo hapo juu.!Habarini za mda huu ndugu zangu wana jamii samahani naomba kusaidiwa kujua tarehe ya mama kujifuangua maana tarehe ya mwisho ya mama alipoingia period haikumbuki ila mimi nakumbuka nilikutana naye kimwili tarehe 29 July 2017, na cliniki wamekadiria kuwa atajifungua tarehe 30 may 2018 naona kama haiko sawa natanguliza shukrani zangu za dhati.