Msaada: Tarehe ya makisio ya kuzaliwa mtoto

Msaada: Tarehe ya makisio ya kuzaliwa mtoto

Bwai

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
721
Reaction score
488
Habarini za mda huu ndugu zangu wana jamii samahani naomba kusaidiwa kujua tarehe ya mama kujifuangua maana tarehe ya mwisho ya mama alipoingia period haikumbuki ila mimi nakumbuka nilikutana naye kimwili tarehe 29 July 2017, na cliniki wamekadiria kuwa atajifungua tarehe 30 may 2018 naona kama haiko sawa natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kafanye ultra sound ujue idadi kamili ya week kuanzia hapo makadirio yaweza kuwa rahisi
 
Habarini za mda huu ndugu zangu wana jamii samahani naomba kusaidiwa kujua tarehe ya mama kujifuangua maana tarehe ya mwisho ya mama alipoingia period haikumbuki ila mimi nakumbuka nilikutana naye kimwili tarehe 29 July 2017, na cliniki wamekadiria kuwa atajifungua tarehe 30 may 2018 naona kama haiko sawa natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kwa mahesabu ya kawaida ni kama hawako sahihi, nenda tena kliniki wakakadirie upya. Au fuata ushauri huo hapo juu.!
 
Kwa makadirio hayo wapo sahii na kadri siku zinavyoenda pia tarehe hupungua...
Kutoka 29-07 mpaka 30-05 ni wiki 41 na makadirio huwa mpaka week 42... kwa hiyo nakusihi vuta subra....
N.B usipende kupiga ultra sound mara kwa mara....
 
Kwa makadirio kazuri muulize mwenza wako tarehe ya mwisho ya kuona MP chukua hiyo tarehe jumlisha na saba kisha chukua mwezi alio MP upunguze miezi mitatu nyuma utapata exactly 40 weeks GA
 
Nawashukuruni kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom