Msaada: Tatizo kwenye kadi ya gari

Kila mtu na maamuzi yake ila mi niliona bora niuze nkamcheki dalali nkasukuma chombo chap maana m mwenyewe nili anza ingiwa n was was kuhusu iliko patkana ile pikipiki
dah haya mambo ni shida sana
 
Vile TRA wanaupitia huu uzi na wanakungojea uwatembelee kwenye ofisi zao🐒
 
Mkuu kweli nilipigwa lakini nilipewa gari powerful. Nilisearch chassis number yake na ikaja E280, kwahiyo ni kweli gari ni E280 ila nashindwa elewa ilikuaje kadi ikaandikwa E250? Labda ni human error, sasa je naweza kubadilisha hiki kitu?
Hiyo gari inawezekana iliibwa nchi jirani ilipoingia bongo ikatafutwa kadi ya gari ilikwishapaki au imeshakatwa kadi hiyo ikapewa hari hiyo uliyonayo unaweza kuta hiyo gari yako chassis no.ikaingizwa TRA ikonekana ila rb intepool.
 
Hiyo gari inawezekana iliibwa nchi jirani ilipoingia bongo ikatafutwa kadi ya gari ilikwishapaki au imeshakatwa kadi hiyo ikapewa hari hiyo uliyonayo unaweza kuta hiyo gari yako chassis no.ikaingizwa TRA ikonekana ila rb intepool.
Lakini mkuu chassis number inaendana na model yake. Na ni yenyewe iko kwenye bodi ya gari. Katika details za gari zilizopo kwenye kadi ya gari, chassis number iko sahihi. Kwahiyo naweza kusema chassis number sio ya gari iliyokatwa wala iliyopaki. Ni ya gari hii hii, na nikiicheck online inaniletea model sahihi kama navyoiona ila ndo kwenye kadi kuna model nyingine
 
Dah jamaa wataniua aisee
Gari yangu nilikua natumia Zanzibar, na wakati wa kusajili walikosea kuandika number ya chasis, wakaongeza number mbili. Kwahio hata document za gari zilizotoka Zanzibar zilikua na hilo kosa. Nilipoamua kurudi dar, wakati wa usajili wakagungua hilo tatizo na kurekebisha. Pesa ya kurekebisha ilikuwa kidogo sana haikufika elfu hamsini.
 
Kiongozi umenipa moyo. Napata imani kuwa haitakuwa mbaya as it sounds
 
Wasikutishe. Ukitaka tumia hivyo hivyo. TRA wanakosea sana details za magari. Nimeshankutana na gari kibao TRA wanakosea chassis number,model ya gari etc.
Dah this encouraging. Vipi nikikutana na inspectors wale wa barabarani afu wakagundua hilo haitaniletea shida?
 
Dah this encouraging. Vipi nikikutana na inspectors wale wa barabarani afu wakagundua hilo haitaniletea shida?
Huo muda wa kuangalia hawana na wengi wao walipata zero 0levo kama mimi kwa hiyo kusoma ni shida!
 
Makosa ya TRA hayo hakuna janja janja hapo...hiyo wanabadilisha unaenda polisi/motor vehicle wanakagua harafu utaambiwa nenda TRA utaambiwa ulipie sidhani kama itazidi 50elfu labda kama kipindi hiki wamepandisha zipo gari wanakosea badala ya double cabin wanaandika Single cabin na wanarekebisha wenyewe tena...
 
Mkuu umetisha sana. Ahsante kwa hii vote of confidence. Nitaleta mrejesho
 
Mimi yangu ni SUZUKI JIMNY, ila kwenye Card imeandikwa SUZUKI JIMMY,

Sijahangaika nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…