MSAADA: Tatizo la Camera ya simu kujiwasha ikiwa mfukoni nalitatua vip?

MSAADA: Tatizo la Camera ya simu kujiwasha ikiwa mfukoni nalitatua vip?

Sijui unatumia simu gani ila kwangu mimi na kwa wenye samsung hii ndio solution

Screenshot_20230814_121201_Settings.jpg
 
Pole sana kwa changamoto unazopitia. Kuna siku hiyo simu itakuletea balaa.
 
Nenda kwa fundi aitoe tu au iloweke simu masaa mawili ukishindwa nunua kufuli uifunge au nenda kwa fundi wa kuchomelea aichomelee.nakutakia mchana mwema mkuu
 
Back
Top Bottom