Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Nadhani atasolve tatizoSijui unatumia simu gani ila kwangu mimi na kwa wenye samsung hii ndio solution
View attachment 2717014
tecno ,mnaionea sanaBila shaka ni Tecno😀😃😀
Iweke kwenye maziwa au sidiria ndogo?Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe
Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
Ni dalili ya simu kuchokaWakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe
Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka