Msaada tatizo la damu

bisti

Senior Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
167
Reaction score
152
Ndugu wanajamvi salamu kwenu, niende moja kwa moja kwenye mada husika, nina mzazi wangu ambae amekua akisumbuliwa na maumivu ya mwili, na baada ya kupimwa sana kujua tatizo imegundulika ana Bacteria kwenye damu, choo, na mkojo. Wadau naomba kufahamishwa hili tatizo lina tiba? na chanzo ni nini? Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna bacteria wa aina nyingi na anayejua zaidi ni aliyekupima na daktari.

Kama ulipima na kuambiwa Una bacteria kwenye damu mkojo na choo inabidi pia uambiwe huo ni ugonjwa gani na tiba yake ndiyo kazi ya daktari.

Sijaelewa kwanini unauliza tena chanzo wakati umeshapima na imegundulika Ni bacteria.
 
Mkuu nimeuliza kwa sababu hii, mzazi wangu amekua ni mtu mwenye masikitiko sana na anadai yeye kua et ni sawa na kansa tu, hivyo mimi nikawa nakataa na hata Daktari anadai ni bakteria tu ambao wanamsumbua na akapewa antibaotic hakusema zaidi. Hivyo nimekuja piah kuuliza na huku kwa Wataalam pia nipate maarifa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My point Ni kuwa,maelezo hayajitoshelezi kutoa diagnosis.
 
kama aliekueleza alikueleza jinsi unavyosimulia basi naweza kusema ulikutana na kanjanja wa matibabu.Elezea kwa kina ni namna gani huyo mwenzako anaumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…