Ndugu wanajamvi salamu kwenu, niende moja kwa moja kwenye mada husika, nina mzazi wangu ambae amekua akisumbuliwa na maumivu ya mwili, na baada ya kupimwa sana kujua tatizo imegundulika ana Bacteria kwenye damu, choo, na mkojo. Wadau naomba kufahamishwa hili tatizo lina tiba? na chanzo ni nini? Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app