Msaada tatizo la kukojoa kwa mtoto

tzhumoally

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
412
Reaction score
156
wana JF nina mtoto wa dada yangu ana umri wa miaka 10 jinsia yake ni wa kike,huyu mtoto ana tatizo la kutoka mikojo na muda mwingi ukimuacha kidogo unaanza kusikia ananuka mikojo,mwanzo nilijua anajikojolea kusudi lakini mpaka kupigwa alikua anapigwa but tatizo bado lipo,sasa nilitaka kujua inawezekana kweli hajikojolei kusudi ana tatizo?na kama ni tatizo ni tatizo gani?...n.b hata usiku akilala anajikojolea kitandani,labda umtoe kukojoa mara mbili au tatu
 
Hili tatizo tiba yake naijua,tafuta mawasiliano nami nikusaidie kwa ajili ya huyo mtoto.
 
We jamaa embu nenda hosoitaki hizi si zama za ujimba kuna matibabu kuna madaktari bingwa wa watoto hilo ni zaidi ya kukojoa kwa watoto wakiwa usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…