tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
wana JF nina mtoto wa dada yangu ana umri wa miaka 10 jinsia yake ni wa kike,huyu mtoto ana tatizo la kutoka mikojo na muda mwingi ukimuacha kidogo unaanza kusikia ananuka mikojo,mwanzo nilijua anajikojolea kusudi lakini mpaka kupigwa alikua anapigwa but tatizo bado lipo,sasa nilitaka kujua inawezekana kweli hajikojolei kusudi ana tatizo?na kama ni tatizo ni tatizo gani?...n.b hata usiku akilala anajikojolea kitandani,labda umtoe kukojoa mara mbili au tatu