Msaada tatizo la kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Msaada tatizo la kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Pweza Boy

Unless wewe ni mwanafunzi na unataka urahisi wa matibabu.

Issue inayohusu "thaghari" yako ipeleke kwa wahusika japo ni aibu.

Usimeze dawa kabla ya vipimo kwa manufaa ya ini lako.

Mara nyingi kama ugonjwa umeadvance, sindano inakuhusu. Sasa hebu tuambie wapi utaenda kuchomwa sindano kwa maneno ya JF?

Nenda hospitali. Inawezekana una UTI au prostesis ambayo sio lazima yawe magonjwa ya ngono lakini unaweza ukapata kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom