Msaada:Tatizo la kula sana kuliko kawaida

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Mwenzenu nina tatizo la kula sana siku hizi hata sijui kwanini mwanaume nakula robo tatu ya kilo mlo mmoja na najikuta napata njaa baada ya mda mfupi .

Kazi zangu ni za kiproffessional ila zina sereka kiasi. Nimepima minyoo sina
 
Duh hatari sana, awamu hii hii au??

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Inawezekana una stress hizo zinaleta hormonal inbalance na digestion kuwa faster.
 
Kazi za kiprofessional zipi hizo?, umemaanisha za ofisini au maana sijakusoma vyema
 
na mm niliwah kuwa kama wewe ! nikaenda hosp no minyoo! nikaonekana nna stress... lol
 
Mkuu usinipandishe mimi sio dr.

Mkuu ujue nakufuatilia muda sasa. Ushauri wako mwingi kuhusu masuala ya afya yananifanya niamini wewe ni Daktari. Maana unatoa michango mingi inayosaidia watu wengi wenye matatizo ya afya hapa JF. Kama wewe sio Daktari hakuna kilicho haribika.
 
shukrani mkuu.
 
Reactions: mij
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…