Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
nimefanya yote mkuu pia hajawah ku2mia vidonge wala cndano wala vipandikiz
Wanawake ni waongo sana wanapotafuta kile wanachokitaka. Usijenge uaminifu kwa kwa kila analokuambia. Kuna case mbili ntakusimulia, mojawapo alitolewa kizazi baada ya kuchokonoa mimba na kukiharibu vibaya na alipopata mwanaume akadai alifanyiwa apendicectomy na alikuja kumlilia daktari asiseme kabisa kwamba hana kizazi. Wa pili naye alichomoa sana mimba kiasi cha kupoteza uwezo wa kuzaa. Ikabidi siku moja akiwa hedhi amdanganye mume wake kwamba anasikia dalili za mimba kutoka wakaenda hospitali. Wakiwa exam room na daktari akamwambia 'Dr naomba usaidie kuokoa ndoa yangu, mwambie tu mume wangu kuwa nilikuwa na mimba imetoka'! Nitakulipa chochote unachotaka!