Msaada tatizo la kupata mimba

Msaada tatizo la kupata mimba

nimefanya yote mkuu pia hajawah ku2mia vidonge wala cndano wala vipandikiz

Wanawake ni waongo sana wanapotafuta kile wanachokitaka. Usijenge uaminifu kwa kwa kila analokuambia. Kuna case mbili ntakusimulia, mojawapo alitolewa kizazi baada ya kuchokonoa mimba na kukiharibu vibaya na alipopata mwanaume akadai alifanyiwa apendicectomy na alikuja kumlilia daktari asiseme kabisa kwamba hana kizazi. Wa pili naye alichomoa sana mimba kiasi cha kupoteza uwezo wa kuzaa. Ikabidi siku moja akiwa hedhi amdanganye mume wake kwamba anasikia dalili za mimba kutoka wakaenda hospitali. Wakiwa exam room na daktari akamwambia 'Dr naomba usaidie kuokoa ndoa yangu, mwambie tu mume wangu kuwa nilikuwa na mimba imetoka'! Nitakulipa chochote unachotaka!
 
...Kuweni na subira Mkuu wala msijiwekee pressure labda miezi 12 ndio muanze kuingiwa na wasiwasi. Nimeona vipindi mbali mbali kwenye TV waliojiwekea pressure ya kutaka ujauzito kati ya miezi miwili hadi sita. Walipokwenda kuwaona wataalamu wakaambiwa wasijipe pressure just to enjoy each other during their love making sessions na wengi wao walifanikiwa baada ya miezi michache. Kila la heri Mkuu.

sawa mkuu ,ila cjaelewa baada ya miez mingapi ndo niseme ni tatizo?
 
Huna tatizo...just relax,una ham nayo sana ndo mana...ndani ya miezi mitatu mpaka sita itatiki tu we hakikisha zile siku za upevushwaji wa yai muwe mnafanya

Kama unahisi kuna tatizo we rekodi kalenda yako then mkamwone Gyno

poa mkuu
 
Wanawake ni waongo sana wanapotafuta kile wanachokitaka. Usijenge uaminifu kwa kwa kila analokuambia. Kuna case mbili ntakusimulia, mojawapo alitolewa kizazi baada ya kuchokonoa mimba na kukiharibu vibaya na alipopata mwanaume akadai alifanyiwa apendicectomy na alikuja kumlilia daktari asiseme kabisa kwamba hana kizazi. Wa pili naye alichomoa sana mimba kiasi cha kupoteza uwezo wa kuzaa. Ikabidi siku moja akiwa hedhi amdanganye mume wake kwamba anasikia dalili za mimba kutoka wakaenda hospitali. Wakiwa exam room na daktari akamwambia 'Dr naomba usaidie kuokoa ndoa yangu, mwambie tu mume wangu kuwa nilikuwa na mimba imetoka'! Nitakulipa chochote unachotaka!

mh! Hayo sasa majanga
 
nashukuru kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi na majibu nitayaleta hapahapa
 
Na kingine usiwe nalala na mkeo kila siku!
Inatakiwa upumzike angalau siku 4-6 Ili sperms ziwe na nguvu! Unaweza kuzeekea hapo kwenye papuchi kama kila siku ww lazima.
 
thanks mkuu kwa ushauri
 
Mbona ukigoogle inakupa kila kitu...Medical notes zipo kibao...Ila usigoogle kiswahili wengine ni wazushi..Ask google swali lolote lakidoctor unalolitaka ila usisahau Mwisho kuandika MD
Mfano:
1. dates for getting pregnant md
[h=2]2. Best Days for Making a Baby
[/h]3. Period Calculator for making a baby

vyovyote utakavyouliza ndivyo itakavyokujibu...Soma makalaa utaelewa....Pia kwa ushari zaidi ndio maana tukawa na Madoctor wa mambo ya uzazi nenda wakushauri acha kutumia njia za kienyeji..
 
Na kingine usiwe nalala na mkeo kila siku!
Inatakiwa upumzike angalau siku 4-6 Ili sperms ziwe na nguvu! Unaweza kuzeekea hapo kwenye papuchi kama kila siku ww lazima.

Anaweza akapumzika ukakuta ndizo zile siku za mwanamke kuweza kushika mimba ..kwani si kila wakati mwanamke anaweza kupata mimba...Yaani unatakiwa pia ucheze na tarehe kisawa sawa....Wengi huwa wanakosea....

Pia wanaume wanatakiwa wawe wanajiandaa...Km unavuta sigara acha pia hizi zinamadhara wkt ule, aina ya vyakula pia zinapunguza uwezo....Zingatia vyakula vya asili.....
 
kweli kabisa kaka
 
Labda basic kabisa ni kwamba inatakiwa unamwagamo ndani sio nie....
Akiingia kwenye siku zake tu, target anza kuhesabu, kuanzia siku ya 13-17 piga mzigo kila siku... kwa sababu umesema anabadilika muda mwingine 32... asipopata nendeni mkamuone daktari..
 
Back
Top Bottom